BREAKING NEWS: Uongozi wa Yanga umeamua kuachana na Kocha Mkuu Mwinyi Zahera
byAdmin-
0
BREAKING NEWS: Uongozi wa Yanga umeamua kuachana na Kocha Mkuu Mwinyi Zahera na nafasi yake imechukuliwa na mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Ben Mwalala.
Mwalala anatua Yanga akitokea Bandari FC ya Kenya.