Aliyekuwa Msemaji wa Simba Sc Haji Manara ametambulishwa jioni hii katika klabu ya YANGA SC. Kwa sasa Haji Manara ni Mwananchi Rasmi. Hafla hiyo ya Utambulisho wake imefanyika jioni hii ya leo katika Ukumbi wa Serena Hotel.
Haji Manara aliyekuwa msemaji wa Simba Sc aliondolewa kama Msemaji wa Klabu hiyo wiki chache zilizopita. Kwa Taarifa Kamili endelea kufuatilia MPEMBA BLOG
Asante kaka
ReplyDeleteBlog nzuri sana. Habari ziko live na very clear!
ReplyDeleteAsante na Endelea kutembelea mpemba blog
ReplyDelete