Huyu Ndio Kocha Mpya wa Yanga Baada ya Zahera Kutimuliwa

Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amemtangaza Charles Boniface Mkwassa kuwa kocha wa muda wa Yanga akichukua nafasi ya Mwinyi Zahera kwa muda wa wiki mbili 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post