Messi Akutwa na Covid-19

 



STAA anayekipiga katika timu ya PSG, Lionel Messi amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona.

Klabu hiyo ya Ufaransa imethibitisha kuwa Messi pamoja na wachezaji wengine watatu wamekutwa na Corona, hivyo wataukosa mchezo wa kesho wa Coupe de France dhidi ya Vannes.

1 Comments

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

  1. Very nice and interesting article. Thanks for sharing this amazing article. Also check our website
    Best Poetry Wala

    ReplyDelete
Previous Post Next Post