Serikali ya jimbo moja Ujerumani imeeleza nia yake ya hivi karibuni kupiga marufuku watoto wa kike wa chini ya miaka 14 nchini humo kuvaa hijabu.
Jambo hili linakuja kipindi ambacho nchi jirani ya nchini hiyo, Austria pia imejipanga kupiga marufuku kuvaliwa kwa hijabu kwenye shule ya awali na za msingi.
Huko North Rhine-Westphalia, mji wa Ujerumani wenye idadi kubwa wa watu, wanafanya mchakato wa kupiga marufuku kabisa uvaliwaji wa hijabu mjini humo.
Tags
Kimataifa