VideoMpya: Kuna hii ya nguvu ‘NTAKO” kutoka Oscar Parable





April 11, 2018 nakusogezea Video ya mtu wa nguvu Oscar Parable wimbo unaitwa ‘NTAKO’ ikiwa imeongozwa na Outline Media, ukishaitazama usisahau kuweka Comment yako ili Oscar Parable akipita aone umepokeaje wimbo wake.
Bonyeza PLAY hapa chini ku-enjoy na burudani hii.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post