Home Arsene Wenger amtaja mrithi wake atakaeiongoza Arsenal byAdmin -27 November 0 Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameripotiwa kumtaja staa wa zamani wa timu hiyo Giovanni van Bronckhost kama mtu anayefaa kuwa kocha wa timu yake baada ya wakati wake kufika tamati. Facebook Twitter