Hatimae ile siku iliyekuwa ikisubiriwa na wakemya wengi ya kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo Mh. Uhuru kenyata ambaye alishinda uchaguzi wa awamu ya kwanza ila matokeo yakafutwa na mahakama na uchaguzi ukarudiwa tena na bado akaendelea kushinda, Je unawashauri nini wakenya juu ya Rais wao Mteule wa awamu ya pili Mh. Uhuru Kenyata???