PICHA: Tundu Lissu alivyowasili Ubelgiji na kupokelewa na Madaktari Airport
byAdmin-
0

Katika picha Mbunge #TunduLissu amewasili jijini Brussels nchini Ubelgiji akitokea Nairobi, Kenya. Atakuwa nchini humo kwa ajili ya kuendelea na matibabu kwa hatua ya tatu.