Kwa habari tulizozipata kutoka katika chombo kimoja cha habari huko nchini Zimbabwe ni kwamba Waadhiri (Lecturers) wa chuo kikuu cha Zimbabwe wamemvua Make wa Raid Mstaafu wa Zimbabwe Bi. Grace Mugabe, bado haijawekwa wazi kwamba ni nini hasa kilichopelekea kuvuliwa PhD hiyo kwa Mke huyu wa Rais mstaafu wa Zimbambwe Bw.Robert Mugabe