#LaLiga Mpira umekwisha, huku Diego Costa akirejea kwenye klabu yake ya zamani kwa bao na kadi nyekundu ukiwa ni mchezo wake wa kwanza tangu aachane na Chelsea.
FT: Atletico Madrid 2-0 Getafe.
Mechi inayofuata ni Valencia vs Girona kuanzia saa 12:30 LIVE #AzamSportsHD.