Rais Magufuli amtembelea Mzee Kingungwe Muhimbili leo
byAdmin-
0
Rais Magufuli amemjulia hali Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mzee Kingunge anatibiwa majeraha baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam.