Rais Magufuli akiwasilisha taarifa zake za maadili na Mali anazomiliki
byAdmin-
0
Rais Magufuli awasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma
> Aagiza viongozi watakaochelewa fomu zao zisipokelewe ili sheria ichukue mkondo wake