NI MWAKA MWINGINE TENA Kwangu, Asante sana Mwenyezi Mungu mwingi wa REHEMA, Kwa Pumzi, ulinzi, Baraka na Neema zako, Hakika huu ni upendeleo mkubwa sana kwangu Naendelea kukuahidi kuwa Nitaishi na kulitangaza Jina na Utukufu wako Siku zote za Maisha yangu,
HAPPY BIRTHDAY TO ME🙏