CCM- "Hakuna mtu aliyekatazwa kuzungumza, Hatutaki uchochezi tuu"
byAdmin-
0
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa, hakuna mtu yeyote anayezuiwa kuzungumza #Tanzania, na kwamba, wanaokamatwa wakiwemo viongozi wa dini, ni kwa sababu wametoa lugha za uchochezi ama