PICHA 9: Rais Magufuli alivyowakabidhi Simba SC Kombe la VPL 2017/2018




Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2017/2018 club ya wekundu wa Msimbazi Simba SC leo Jumamosi ya May 19 2018 walikuwa uwanja wa Taifa DSM kucheza mchezo wao wa 29 wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar uwanja wa Taifa.
Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa awamu ya tano Dr John Pombe Magufuli ambaye ndio alikabidhi kombe kwa Simba SC, katika mchezo huo Simba wameshindwa kulinda rekodi yao ya kutofungwa mchezo hata mmoja na hatimae kuruhusu kufungwa goli 1-0 na Kagera Sugar.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post