GOOD NEWS: Apollo hospital kutibu Tezi dume, Uvimbe wa kizazi bila upasuaji


Leo May 14, 2018 nakusogezea good news kutoka Apollo hospitals India ambapo wamekuja na mbinu mpya ya Kutibu uvimbe katika kizazi, Tezi dume, Kansa ya ini na Mgongo, wamefanya huduma ya kliniki katika hospitali ya Hitech Sai Upanga.
Kliniki hiyo ilihusu mbinu mpya ya matibabu bila upasuaji ambapo hapa Dr. Sandip Jhalaanaelezea Namna ya Kutibu magonjwa ya uvimbe kwenye kizazi (Fibroids), Mgongo Kuuma (lower back pain) Kansa ya ini na tezi dume bila upasuaji.
Akitoa shukrani, Ofisa wa Apollo, Mr. Shahidi Parwez amesema watakuwa wakishirikiana  na Hospitali mbalimbali nchini katika kutoa huduma mbalimbali za matibabu kwa Watanzania.
Pia, alimtambulisha mwakilishi wa Apollo Hospitali hapa nchini, Mr Alex Audax(+255766384851) ambaye anaratibu na kuwasiliana na Watanzania wanaoenda India kutibiwa katika hospitali za Apollo.
LIVE MAGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post