DENISS Richard winga wa kikosi cha Mwadui FC anatajwa kuingia katika rada za Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco.
Aliibuka ndani ya Mwadui FC ambayo imeshuka daraja katika usajili wa dirisha dogo alikuwa akiwaatumikoa Singida United.
Kwa msimu wa 2020/21 aliweza kufunga mabao mawili na pasi moja ya bao na kumfanya abusive kwenye mabao matatu kati ya 24 ambayo yalifungwa na timu hiyo.
Tags
Michezo