VAZI LA HIJAB LARUHUSIWAVKUVALIWA NA POLISI WA KIKE
byAdmin-
0
HABARI ; Mamlaka ya Polisi nchini Scotland limeidhinisha vazi la hijab kuwa moja ya vazi rasmi kwa askari wake ili kuwavutia wanawake wengi wa Kiislam ambao hawaipi kipaumbele kikubwa kazi hiyo waweze kujiunga