VIDEO: Raia wa Urusi wanajiandaa na World Cup kwa kucheza nyimbo za Kiafrika


Leo May 23 2017 kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi zinakuwa zimebakia siku 22 kuweza kuanza kwa michuano hiyo, kuelekea fainali hizo naomba nikusogezee video fupi ya warembo wa kirusi wakicheza nyimbo za kiafrika kama sehemu ya maandalizi ya michuano hiyo.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post