Kumbukizi ya miaka 5 ya kifo cha Bi Kidude



#KUMBUKUMBU Leo April 17, 2018, inatimia miaka mitano tangu mwanamuziki mkongwe na maarufu duniani wa muziki wa Taarab kutoka visiwani Zanzibar, Fatuma binti Baraka, maarufu kama Bi. Kidude afariki dunia akiwa na umri wa miaka 103. 



Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post