Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake mwenyewe kabla
ya Serikali haijamtafuta , Leo January 8 2018 nimezinasa Picha 10 za
Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na
mpenzi wake Mo J, Good News ni kuwa Msanii huyo ni mjamzito
Tags
Udaku