Ubalozi Wa Marekani Nchini Tanzania Umesema Kuwa Marekani Ipo Tayari Kusaidia Uchunguzi Wa Tukio La Kupigwa Risasi Mbunge Wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) Iwapo Itaombwa Na Serikali Ya Tanzania.
Unadhani Kuna Haja Ya Wachunguzi Wa Kimataifa Kwenye Tukio Hili?