Rais MagufuliJP ameweka wazi kutoridhishwa kwake na utendaji kazi wa Wizara ya Madini. Mara baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa Madini Dotto Biteko Rais amesema anatumai watendaji watabadilika na ametaka salamu zake zifikishwe kwa waziri Angela Kairuki ambaye hakuwepo Ikulu.