Jike Shupa Afunguka Kuhusu Kuishi na Kuwauza Wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moja

Jike Shupa Afunguka Kuhusu Kuishi na Kuwauza Wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moj





Video Queen maarufu, Zena Abdallah anayefahamika kama Jike Shupa, amefungukia skendo ya kuishi na kuwauza wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (mashoga) kwa kusema hajihusishi na hajawahi kuifanya kazi hiyo.

Akizungumza na Risasi Vibes, Jike shupa alisema kwa muda mrefu amekuwa akisemwa kuhusika kuwatafutia mabwana wanaume mashoga, kitu alichodai siyo kweli zaidi ya watu hao kutaka kumchafua.

“Nina marafiki wengi wa kiume, labda miongoni mwao kuna wanaojihusisha na vitendo vya kishoga, ila mimi sihusiki kwa kuwatafutia watu hao mabwana, wanaozungumza hivyo wana nia ya kunichafua,” alisema.
Stori zi 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post