UBUNGO, DAR: Rais Magufuli ameagiza kubomolewa kwa jengo la Makao Makuu ya TANESCO pamoja majengo ya Wizara ya Maji ili kupisha mradi wa Fly Over.
- Ameagiza kuwa majengo hayo yawekewe alama ya X kisha yabomolewe.
Picha kwa hisani ya Azam Tv
Tags
kitaifa