Picha: Mwanajeshi Amvua Nguo Msichana Hadharani Baada ya Kumkuta Amevaa Nguo za Jeshi
byAdmin-
0
Picha inasambaa mitandaoni ikionyesha msichana akivuliwa nguo baada ya
msichana huyo kuvaa nguo zinazofanania na sare za jeshi, Haijajulikana
ni nchi gani au jeshi gani tukio hili lilipotekea