Mwanamitindo Ilebaye Odiniya Aibuka Mshindi Big Brother

 

Mwanamitindo Ilebaye Odiniya Aibuka Mshindi Big Brother

 Mwanamitindo Ilebaye Odiniya Aibuka Mshindi Big Brother

LAGOS, Nigeria Mjasiriamali na Mwanamitindo Ilebaye Odiniya ameibuka mshindi katika msimu wa saba wa shindano la runinga Big Brother Naija (BBN) akiwabwaga Mercy Eke, Cece, Adekunle, Pere na Cross waliokuwa wameingia katika fainali za shindano hilo.

Ilebaye ama ‘Gen Z Baye’ alitangazwa mshindi Jumapili Oktoba Mosi wakati wa fainali hizo za onyesho la uhalisia lililodumu kwa wiki 10 likihusisha vijana 24.

Msindi huyo atapokea mbali na zawadi nyingine kitita cha naira milioni 120 na gari kutoka Innoson watengenezaji wa magari nchini Nigeria.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post