Gigy Money: Mama Yangu Anatamani Niolewe

 

Gigy Money: Mama Yangu Anatamani Niolewe


Mwanamuziki Gigy Money anadai kuwa mama yake anatamani aolewe na mwanaume yeyote haijalishi anafanya kazi gani.

Ameyasema hayo mbele ya vyombo vya habari kuwa mama yake yuko tayari ampeleke hata mwanaume anaendesha boda boda atamkubali.

Aidha msanii huyo ameeleza kuwa kwenye familia yao wenzake wote wameolewa bado yeye, ingawa bado anajiona bado mdogo kuingia kwenye ndoa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post