Zitto: Ukiona kitu kimeandikwa ‘Ofisi ya Rais‘ ujue ni TISS. Ninaamini kwa dhati kabisa Rais wetu hakushauriana na ofisi yake kabla ya kusema hayo Bandarini
> Ni muhimu Rais kujifunza kuweka akiba ya maneno. Kuzungumza ukiwa na frustrations, kama mkuu wa nchi, ni jambo hatari.
Tags
Siasa