BREAKING NEWS: PELE AFARIKI DUNIA


 Mchezaji wa Mpira Maarufu sana duniani “PELE” Mwenye Asili ya Brazil amefariki dunia usiku huu akiwa hospital ambapo alikua akitibiwa kwa muda.

Taarifa hizo za msiba wa Pele zimetolewa na Binti yake kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Pele atakumbukwa kwa kuwa mchezaji bora wa muda wote kuwahi kutokea duniani baada ya Diego Maradona, baada ya kufanikiwa kushinda makombe matatu (3) ya dunia. R.I.P Lengendary wa mpira.

Imeandikwa na Salim Mbise (Mpemba)

1 Comments

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post