BALE ATANGAZA KUSTAAFU SOKA


 Aliyewah kuwa mchezaji wa Real Madrid, Gareth Bale (33) ametangaza kustaafu soka leo tareh 9 January 2023. Ikiwa ni baada ya kucheza mpira wa miguuu kwa kipindi cha misimu 17. Gareth Bale atakumbukwa na Timu kubwa kama Real Madrid, Totehan Hotspurs kwa mchango wake mkubwa katika timu hizo.

Thank you Bale

Imeandikwa na Salimu Mbise

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post