Wabongo Wamuangushia Barakah the Prince Mvua ya Matusi Kisa Ali Kiba

 

Baraka the Prince

Baada ya Baraka kuongea kwenye Interview, kuwa hampendi Alikiba watu kibao wamemfata Instagram na kuporomosha matusi kibao kwenye post zake.

Mchongo mzima upo hivi, Baraka alifanya interview baada ya Kuperform, alipoulizwa kuhusu Alikiba alijibu kwamba hampendi na wala hamkubali.

Pia kabla ya Interview Baraka akiwa kwenye Show Mashabiki walimuomba aimbe wimbo wake na Alikiba "Nisamehe" ila mwamba akakataa akasema kwamba Alikiba ni Mpumbavu na wala hataki kumsikia.

Mbali na Mwijaku, watu kibao wamelaani suala hili na kumuona Baraka kama mtu aliyekosa Adabu.

Baadhi ya Comments za wadau kwenda kwa Baraka 👇

"Kimuziki ushapotea *** wewee huna jipya unatafita kick kupitia Alli *** wewe na kwa taarifa yako Ally atoagi kick kwa *** Kama wewe takatakaa wahuni wana********"

"Kwani wewe mpumbavu mpaka useme Alli kiba umpendi kwani yeye alishawah kukwambia akaupenda??? Kwanza Ali akupende **** Kama wewe akupeleke wapi **** wewee"

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post