Mechi ya Kufuzu World Cup kati ya Brazil vs Argetina yasitishwa

 



Mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana na Mashabiki mbalimbali wa soka duniani kati ya BRAZIL VS ARGENTINA, imeahirishwa muda mfupi baada ya mechi kuanza kuchezwa kutokana na baadhi ya wachezaji kushindwa kufuata kanuni za kujikinga na Covid-19. Wachezaji waliotajwa katika kupuuzia maagizo hayo ni EMILIANO MARTINEZ, GIOVANI LO CELSO, CRISTIAN ROMERO na EMILIANO BUENDIA.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post