Hans Pope wa Simba Afariki Dunia

 

TANZIA Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Zakaria Hanspope amefariki dunia leo Septemba 10, 2021 katika hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa Matibabu

Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi, Amin 

#RIPHanspope

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post