Mbwana Samatta Apiga Goti na Kumshukuru Mungu Kumbakiza Ligi Kuu ya Uingereza

"Narudisha shukrani kwa Mungu kwa kuamua niendelee kubaki kwenye ligi kuu ya England tena mwakani.

Asanteni kwa wote mlioiombea kheri villa ili muendelee kuniona tena katika ligi hii pendwa." - Mbwana Samatta @samagoal77

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post