SAMATTA AANZA KAZI RASMI ASTON VILLA

 Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akimiliki mpira kwenye mazoezi ya klabu yake, vwanja vya Bodymoor Heath, jirani na Kingsbury, Kaskazini mwa Warwickshire.

Samatta aliyesajiliwa Aston Villa wiki hii kwa dau la Pauni Milioni 10 kutoka KRC Genk ya Ubelgiji anatarajiwa kuanza kazi rasmi katika klabu yake hiyo mpya Jumanne itakapomenyana na Leicester City katika Kombe la Ligi England

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post