MSUVA APATA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI.


Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Saimon Msuva  ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa klabu  Difaa El Jadidi , inayoshiriki Ligi Kuu Morocco kwa msimu uliopita.

Msuva amepewa tuzo hiyo katika hafla ya klabu ya Difaa El Jadidi ambayo imefanyika usiku wa Jana.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post