Msanii wa bongo fleva Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya amewajibu 
tena basata na kusema kuwa hajapokea barua yoyote ya kufungiwa kufanya 
sanaa na amehaidi kuwapeleka mahakamani Basata.
Dudu baya amesema atowaomba msama Basata na hata akipata show yoyote ataendelea kuifanya kwakuwa atajapewa barua yoyote.
"Sijapokea barua yoyote ya kufungiwa kufanya kazi ya sanaa kwahiyo hata kesho nikipata show ntafanya kama kawaida na nikishapokea hiyo barua ntakaa na mwanasheria wangu na nikishajua wameandika nini lazima niwatie mahakamani'' alisema Dudubaya
Ameendelea kusema kuwa anaiamini serikali ya awamu ya tano ya Rais Magufuli ni ya ukweli, uwazi na haki anaamini atashinda kesi.

Tags
CELEBRITY