Ukimtongoza Mwanamke Usimwambie Unafanya kazi hizi, Utaachwa

1.Ualimu
2.Askari magereza
3.Fundi ujenzi
4.Kondakta/utingo
5.Mgambo


Ila ukisema unafanya kazi maeneo haya, utakubaliwa asubuhi na mapema
1.Migodini
2.Siasa
3.Ikulu
4.Bandarini
5.Viwanja vya ndege
6.Bank
7.Mahospitalini.
6.Ubalozini

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post