Mara ya Tatu Sasa Naota Nafanya Mapenzi na Secretary Wa Kazini

Kaushauri ndugu zangu; usiku wa kuamkia leo ni siku ya tatu siyo mfululuzo naota nafanya mapenzi na secretary mmoja ambae yupo kazini kwetu ila sipo nae ofisi moja.

Sijawahi kumtongoza, sina feelings zozote na yeye, wala sijawahi kufikiria kumtongoza. Hizo mara mbili nilivyomwota sikumwambia maana niliona kama ninaweza kujenga ukaribu ambao sijau-plan. Lakini mara hii ya tatu naona si vema nikae tu kimya maana siku hiz watu wana technic-know-how. Nitamweleza mbele za watu kuwa nimeota nimefanya nae mara tatu. Sina mazoea ya kuota kufanya mapenz ndotoni imetokea kwake tu ndo maana nimeona si kitu cha kawaida kwangu na pia bora angekuwa mtu hata nam-feel ningechukulia hivo. Naombeni Ushauri Kwa Wanaojua Mambo ya Ndoto

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post