Huyu ndiye Zuleha mdogo wake Zari ambaye week chache zilizopita
Alikamata Headlines za magazeti pamoja na Mitandao ya kijamii akidaiwa
kuwa ndiye mtoto wa Kwanzaa wa Zari japo Zari amekuwa akilipinga hilo
kwa muda mrefu na kudai ni mdogo wake wa kuzaliwa ..!!!