VIDEO: Haji Manara Amlipua Zahera/ Awakejeli Yanga "Tulieni Dawa iwaingie"
byAdmin-
0
Msemaji wa klabu ya soka ya Simba SC, Haji Manara, ameonekana kukubaliana na maamuzi ya Yanga kumfukuza kocha wao Mwinyi Zahera, pia amewakejeli watani zao hao kwa kuwaambia watulie dawa iwaingie.