VIDEO: Diamond, Alikiba wamlilia GodZilla

Kufuatia kifo cha rapper Godzilla kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo kimeonekana kuwaumiza wasanii kibao hapa Bongo, Baadhi yao wameshindwa kuzuia hisia zao na kuandika jumbe mbali mbali kwenye mitandao yao ya kijamii hasa mtandao pendwa wa Instagram. Miongoni mwa wasanii hao ni Diamond na Alikiba.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post