Barua Nzito Kwa Kajala Baada ya VIDEO Akikatika na Mwanae


Baada ya kusambaa kwa kipande cha video ikimuonyesha staa wa bongo muvi, Kajala Masanja akikatika viuno na mwanae Paula na kuzua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni.

Ameandikiwa barua nzito kufuatia tukio hilo ili iwe funzo kwake na kwa mastaa wengine ambao wamekuwa na tabia hiyo.

VIDEO;




Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post