Serikali kupitia Bodi ya Filamu Tanzania leo, Oktoba 26, 2018 imemfungia staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na kumtaka asijihusishe na shughuli za filamu kwa muda usiojulikana, ni baada ya picha zake chafu akiwa na bwana yake raia wa Burundi kusambaa mitandaoni.
Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi
Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kama Hizi Kirahisi Zaidi