RASMI!! RUKYAA NDIYE ‘PLATO’ WA SIMBA NA YANGA JUMAPILI



Mwamuzi Jonesia Rukyaa kuchezesha mechi kati ya Simba na Yanga, Jumapili ijayo Septemba 30 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Aidha, Rukyaa atasaidiana na Ferdinand Chacha pamoja na Mohamed Mkono na mwamuzi wa Mezani atakuwa Elly Sasii.

Waamuzi hao wametanagzwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zikiwa zimesalia siku 4 kuelekea kipute hicho chenye msisimko wa aina yake Septemba 30 2018.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post