Sheikh maarufu hapa nchini Hilali Shaweji Makarani maarufu kama Sheikh Kipozeo hatimaye ametambulishwa rasmi Wasafi TV kuwa ndiye atakayeongozwa mafundisho yanayohusu mwezi huu mtukufu wa ramadhani .
Sheikh huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na uwezo wake wa kuwasilisha mada bila kuchosha watu wanaomsikiliza
Tags
kitaifa