MO J KASEMA: Familia ya Gigy wanampa mwanaume mwingine mtoto sababu ya hela


Mo J kwenye mahojiano na Ayo Tv amezungumza na kusema kuwa anaamini mtoto ni wake ila kuhusu swala la kuambiwa mtoto siwake ni kwa sababu familia ya Gigy wanamshawishi kusema mtoto ni wa mwanaume mwingine (STAN) ili waendelee kupewa hela. MSIKILIZE HAPA MO J KAFUNGUNGA.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post