Msanii Nandy aonyesha jinsi mashabiki wanavyomkubali kwa kile ambacho anakifanya na hii ni baada ya kukuta mtaa wenye jina lake “Nandy Street” na ameamua kuonyesha furahi hii kupitia instagram yake.
Kupitia account ya instagram ya Nandy ameandika “Naamini kwenye kuishi na watu vizur awe mkubwa au mdogo👼#dadamwenyenyumbayake
Hii ni nyingine ya kuifahamu kutoka kwa Nandy ikiwa May 17,2018 alitambulisha rasmi bidhaa zake (Nandy Beauty soap na Nandy Petroleun Jelly)
Tags
WASANII